Psalms 83:13-15


13 aEe Mungu wangu, wapeperushe kama mavumbi ya kisulisuli,
kama makapi yapeperushwayo na upepo.

14 bKama vile moto uteketezavyo msitu
au mwali wa moto unavyounguza milima,

15 cwafuatilie kwa tufani yako
na kuwafadhaisha kwa dhoruba yako.
Copyright information for SwhKC